Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kulingana na akili yake itakavyomtuma kwa muda huo, ila siyo ngumu hata sema tu kuanza kuitafuta hiyo herufi ndiyo utaona inachukua muda kama una haraka.
Hahah! Tutazoea tu sema naona bro Moud ndio hataki tabu kabisa, yeye anapachika kidude chochote tu hapo juu [emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] khaa kumbe ya muda mrefu hivyo halafu hata mie kuna kipindi ilikuwa kila nikiingia kwa gallery yangu lazima niiangalie, usijali bado ninayo nitakutumia.
Halafu ilinipotea uje unitumie... Ile ilikuwa ya january hivi kama sio Feb mwaka jana. Nilikuwa siwezi kulala bila kuisikiliza [emoji3]
 
Back
Top Bottom