Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1584548807831.jpeg
 
Kama unabisha nenda kaangalie utafiti wa taasisi ya mambo ya pesa na michezo ya CIES, uliotoka juzi kati tu hapa ukiangalia wachezaji zaidi ya 166 kutoka ligi tano bora Ulaya wenye thamani ya zaidi ya Euro 55 milioni.
 
9. Tottenham – Harry Kane

Thamani ya kikosi: Euro 787 milioni

Thamani ya MVP: Euro 150.5 milioni

Sokoni kuna vita ya saini yake, Harry Kane anataka kuondoka Spurs na kutafuta timu ya kumpa mataji, Manchester United, Real Madrid na Juventus zinapigana kuwania saini yake.

Mchezaji anayeshika nafasi ya pili kwenye kikosi cha Spurs ni Dele Alli (Euro 95.6 milioni), ambaye katika siku za karibuni kiwango chake kimetetereka.
 
Back
Top Bottom