Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
8. Atletico Madrid – Joao Felix
Thamani ya Kikosi: Euro 836 milioni
Thamani ya MVP: Euro 100.6 milioni
Kiangazi mwaka jana, Joao Felix aliingia kwenye historia ya kuwa mchezaji kinda aliyesajiliwa kwa mkubwa mrefu zaidi, baada ya Atletico Madrid kuvunja benki kumsajili. Baada ya kuanza vizuri maisha yake ndani ya Atletico katikati hapa alitetereka, lakini bado anaonekana kuwa ni moto wa kuotea mbali.