Ban acha tu unaingia unakumbana na kufuli
Tatizo umeme,sijui mgao umeanza😂😂😂😂😂 watu hakuna sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zinipite tu,ntakosa hewa mie
Hahah! Tutazoea tu sema naona bro Moud ndio hataki tabu kabisa, yeye anapachika kidude chochote tu hapo juu 😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yeah ila niliona kama nikiandika Zoe tu hivyo hivyo itakuwa imekaa local sana, na ukizingatia wenye jina hilo wengi wao huandika Zoë.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asante[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole
Wakishua hauna standby generator?Tatizo umeme,sijui mgao umeanza
Bonyeza kwa nguvu(kidogo ukivunja simu shaurilo) e ya kawaida zitatokea za madoidoHahah! Tutazoea tu sema naona bro Moud ndio hataki tabu kabisa, yeye anapachika kidude chochote tu hapo juu 😂😂
😂😂😂😂😂 😂 😂 😂 😂 😂
🏃♀️🏃♀️
Ndo manini hayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakishua hauna standby generator?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi natumia future phone wewe unanifundisha njia za simu tanashati? Wakishua vipi bwana 😀Bonyeza kwa nguvu(kidogo ukivunja simu shaurilo) e ya kawaida zitatokea za madoido
😂😂😂😂Ndo manini hayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wa iphone utawajua tu.Mimi natumia future phone wewe unanifundisha njia za simu tanashati? Wakishua vipi bwana 😀
Umesahau zile sifa za wanaume wanaotumia iphone?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wa iphone utawajua tu.