Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20200319-WA0012.jpg
 
Kama ulikuwa hujui.
Usafiri wa daladala ulianzishwa na rais wa pili wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi mwaka 1986, baada kuvunja ukilitimba wa UDA, waliodumu kama kampuni pekee ya usafiri jijini Dar es salaam wakisaidiwa na ndugu zao KAMATA.
Wakati huo sarafu hii hapa chini [emoji116] ambayo ina thamani ya sh 5 ndiyo iliyotumika kwa mara ya kwanza kulipia nauli ya usafiri huo. Sarafu hiyo ilikuwa na majina mengi mtaani, kama Gwala, jero, beki kitasa, maarufu zaidi Dala.
Hivyo basi tangu hapo usafiri huo ukaitwa DALADALA kutokana na umaarufu wa sarafu hii ya DALA
FB_IMG_1584613971385.jpeg
 
Kwa namna nilivyomsikia jana ni kama amepona na hasahasa ukimsikiliza kwa makini ni kama analalamika hakuwa akiumwa, maana alidai watanzania ni watu wenye maneno maneno sana.
Na amesema wakati wowote ataruhusiwa
Bi TH anataka kujua inakuaje anafanya mahojiano bila kuwa na kinga yeyote ile, au ameshapona?
 
Back
Top Bottom