moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Ubingwa uko palepale
Kwenda huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mi mkulima wewe, nilikuwa nakupima imani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Mazingira mazuri Anne unafaidi
Muwe mnatembelea vijijini.Safi kabisa
Kyela vijijini
Asanteekaribu kwetu
View attachment 1393414
Kuna huyu Davidi,Runtown na Jux mimi sijawahi sikia wimbo mbaya kutoka kwao..
Bora nibaki Bila mume kuliko mume mbilikimo[emoji85]
Mbeya mjini
HapanaMbeya mjini wewe ni Msafa?
Karibu Ipinda 😀
Nimeelewa tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]🤣🤣🤣 unaelewa nini wewe?
Kesho Nina safari ya kyela mjini..Karibu Ipinda [emoji3]
Hahah! Hayo maisha ndio ya shamba kama ulikua hujuiNimeelewa tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]