Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Aisee maajabu ya Dunia
Tumekwisha kupatanaNadhiri yangu ya mbele
Nitaiweka daima
Hata ije siku ile
Ya kuonana kwa salama
Sent using Jamii Forums mobile app
Na Sasa nitamwandama
Hujasahau sana
,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 1396401
Aisee maajabu ya Dunia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie si wataalamu wa afya ama. Sorry sio kwamba mnavuta
Huu wimbo mkiuimba mpo wengi, sauti zimepangiliwa unaweza kudhani Yesu anashuka saa hiyoTwende kwa Yesu Mimi nawe
Njia atwonya tuijue
Imo chuoni na mwenyewe
Haya asema njoo
Wangojeani?Leo yupo
Sikiza Sana asemapo
Huruma Yake ikwitapo
Ewe kijana njoo
Wana na waje atatwambia
Furahini mkisikia
Ndiye mfalme wetu pia
Na atusihi njoo
/Na furaha tutaiona
Mioyo ikitakata Sana
Kwako mwokozi kuonana
Na milele kukaa
Nyimbo za kikristo
/Kweli tutaona furaha
Tukifika kwenye Raha kuu
Tukisafishwa mioyo yetu
Na Yesu mwokozi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna nyimbo nazipenda Kama tenzi za rohoniHuu wimbo mkiuimba mpo wengi, sauti zimepangiliwa unaweza kudhani Yesu anashuka saa hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii haipo kwenye tenzi, labda kama imeongezwa sasaMungu amenihurumia
Tendo hili kubwa Sana
Sikustahili Jambo hili
Nimelipata bure tu
/ Sasa najua haya yote
Nasifu huruma yake
Nalistahili kupotea
Lakini naruhumiwa
Mungu amenipatanisha
Na Yeye kwa Yesu kristo
/Hivi vyatoka wapi
Nasema Ni huruma tu
Sent using Jamii Forums mobile app