Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Usingizi wa uhakika ni jambo jema sana kwa ajili ya afya ya mwili wako. Lakini kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia, pamoja na kujengeka kwa jamii yenye mfumo wa maisha wenye shughuli nyingi, watu wengi hawapati usingizi mzuri.
 
Kumtegemea mwokozi
Kwangu tamu kabisa
Kuamini Damu Yake
Nimeosha kabisa

/Yesu Yesu namwamini
Nimemwona thabiti
Yesu Yesu Yu thamani
Ahadi zake kweli

Kumtegemea mwokozi
Kwangu tamu kabisa
Kuamini Neno lake
Nina Raha moyoni

Nafurahi kwa sababu
Nimekutegemea
Yesu mpendwa rafiki
Uwe nami dawamu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya ni baadhi tu ya manufaa ya kulala vyema; je huoni kuwa unahitaji kufahamu njia zitakazokupa usingizi au kulala vyema? Fuatana nami katika makala hii ili nikujuze zaidi.
 
Punguza mwanga wa rangi ya bluu jioni na usikuMwanga huu hupatikana hasa katika vifaa vya kielektroniki kama simu; kompyuta, televisheni n.k. Utafiti unaonyesha kuwa mwanga huu wa bluu hupunguza uzalishaji wa homoni ya “melatonin” ambayo ndiyo hutupa usingizi.
 
Kaa kwenye mwanga wa kutosha mchanaUnapokaa kwenye mwanga wa kutosha mwili wako utaweza kutambua ni wakati upi umeamka na ni wakati gani wa kulala. Yaani mwili utatengeneza mazoea ya kubaini kuwa sasa ni usiku na ni wakati wa kulala kwani mchana kutwa hukuwa umelala.
 
Punguza au acha kulala mchanaMara ngingi unapolala mchana ni sawa na kusema umepunguza usingizi wa usiku. Kama siyo lazima kulala mara kwa mara mchana, basi ni vyema ukajitahidi kutolala ili kukupa usingizi wa uhakika na wa kutosha wakati wa usiku. Kumbuka, hakuna sababu ya kulala mchana wakati una usiku mzima wa kulala.
 
Zingatia ratiba ya kulala na kuamka

Natumaini umewahi kulala zaidi ya muda uliozoea kuamka; na ulipoamka ulijihisi umechoka sana. Vivyo hivyo kwa siku uliyochelewa kulala pia. Hivyo basi, jitahidi kulala na kuamka kwa wakati unaofanana ili mwili wako uweze kufuata utaratibu ambao umeuzoea.
 
Sioni haya kwa Bwana kwake nitang'ara
Mti wake sitakana Ni neno imara

/Msalaba ndiyo asili ya mema
Nikatua mzigo hapo
Nina uzima furaha daima
Njooni kafurahini papo

Atakiri langu jina mbele za Babaye
Anipe pahali Tena mbinguni nikae

Bwana wangu Tena Mungu ndilo lake jina
Hataacha roho yangu kamwe ipotee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…