Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

464015444_619180.jpg
 
Hawa jamaa sijui walizembea wapi. Halafu wana wazee kibao katika population yao. Sasa wanapukutika kama nzige mpaka jeshi ndilo limechukua jukumu la kuokota na kukusanya maiti.

Uchumi wao ulikuwa umeelemewa na huduma za kuhudumia hawa wazee na kuna tetesi kuwa pengine wamefanya makusudi ili kujipunguzia mzigo huo. Sad !!!
 
Back
Top Bottom