Rostema
JF-Expert Member
- Nov 27, 2018
- 2,926
- 9,495
Hawajui. Sisi fokasi yetu ni tako tu. Kama lipo hata uwe mbilikimo sawa tu [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1396459
Movie yake vipi hukuwai kuiangalia?
Sio vyote tunavyovaa tunataka mtuone[emoji2]
Tunakulaga [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hawa jamaa sijui walizembea wapi. Halafu wana wazee kibao katika population yao. Sasa wanapukutika kama nzige mpaka jeshi ndilo limechukua jukumu la kuokota na kukusanya maiti.