Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu nina asili ya italia 😀😀😀

Amna mkuu si unajua ligi maarufu ile
ilikuwa maarufu
juventus wameiharibu serie A.
AC milan walijisahau kufanya overhaul ya kikosi chao.
Inter milan walikosa mipango miji
lazio, fiorentina, parma wamepotea

fedha imekuwa ngumu sana kwa timu ndogo za italy tofauti na ENGLAND
 
jamani jamani jamani kosa kafanya mfilisti ....hukumu napewa mimi.
umepoteza kumbu kumbu kwa stress za kuachwa na muuza gongo?
1584966369906.png
 
ilikuwa maarufu
juventus wameiharibu serie A.
AC milan walijisahau kufanya overhaul ya kikosi chao.
Inter milan walikosa mipango miji
lazio, fiorentina, parma wamepotea

fedha imekuwa ngumu sana kwa timu ndogo za italy tofauti na ENGLAND
😀😀 ndo ivo wapenzi wa mpira tunafwatilia tu ivo ivo
 
Back
Top Bottom