D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
fanya urudi kwenu basi.......babu zako wanakufa kuliko nzigeMkuu nina asili ya italia
Amna mkuu si unajua ligi maarufu ilefanya urudi kwenu basi.......babu zako wanakufa kuliko nzige
ilikuwa maarufuMkuu nina asili ya italia πππ
Amna mkuu si unajua ligi maarufu ile
umepoteza kumbu kumbu kwa stress za kuachwa na muuza gongo?jamani jamani jamani kosa kafanya mfilisti ....hukumu napewa mimi.
Au ile chenga ya zamani unaupiga mpira ubavu wa kulia wa adui alafu wewe unapita ubavu wa kushoto unakutana nao mbele ππZile one to one kama box to box Midi-field
ππ ndo ivo wapenzi wa mpira tunafwatilia tu ivo ivoilikuwa maarufu
juventus wameiharibu serie A.
AC milan walijisahau kufanya overhaul ya kikosi chao.
Inter milan walikosa mipango miji
lazio, fiorentina, parma wamepotea
fedha imekuwa ngumu sana kwa timu ndogo za italy tofauti na ENGLAND
Mungu ni mwema MkatalunyaFresh sana Mzee harakati ni vipi ?
vitimbwi vya wasukumauruthi haki yangu lakini.
Davet wa maghorofani simuwezi...nimezoea vibandani
ππππ dah!unataka kugombania urithi na mama wa kisukuma?
si uende kwa handsome boy davet mtoto anayepikiwa maziwa kila siku na beki 3.
atakuzowesha, ina maana ndoto zake zote ni kuishi kwenye vibanda vya chini kama MBUZI maisha yako yote?@Davet wa maghorofani simuwezi...nimezoea vibandani
Huku wote wacataloniaMungu ni mwema Mkatalunya
Wapo pia wa miji mingine sema ndio watoto wa bushi bado wanajiogopaHuku wote wacatalonia
atakuzowesha, ina maana ndoto zake zote ni kuishi kwenye vibanda vya chini kama MBUZI maisha yako yote?
mmoja wao ni mpenzi wa madrid lakini akija huku anajifanya mkatalunya.Huku wote wacatalonia