Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,954
- 210,287
Unamcheka nesi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah
Ndiyo maana hajavurugikiwa na ubongo kwa sababu hajapigwa yale mangumi ya kichwa yanayowafanya wenzake wakizeeka wanashindwa hata kuongea vizuri...mayweather anapigana kwa kujificha ovyo kama jogoo wa bagamoyo
Daaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseeee
Pole sana pia hope utakaa sawa soon. Mambo mengine vipi?Pole sana bro...... mwenyewe kuna mitikasi yangu ile imesimama kabisa kisa hii issue, sema nahisi mambo yatakaa sawa soon mana jamaa wamesharudi kwenye maisha yao ya kawaida.
Ee kakukomesha unavyomsema hapa hahUnamcheka nesi
Na ndiyo wanazaa watoto wenye akili sana. Halooooooooo !!!!Wanawake wenye maumbo mazuri (Umbo Namba 8 [emoji4]) Huwa na Akili zaidi tofauti na Wanawake Wembamba. Sababu Wanakuwa na Uwingi Wa "Fatty Acids" ambazo hupatikana kwa wingi katika Hips Zao, husaidia kuongeza Afya Ya Akili.
Akili ya sanchi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na ndiyo wanazaa watoto wenye akili sana. Halooooooooo !!!!
View attachment 1397999
Unaangaliaga mieleka? Lastborn wetu anapenda vibaya mno sijui kwa kuwa ni wa kiume.Ndiyo maana hajavurugikiwa na ubongo kwa sababu hajapigwa yale mangumi ya kichwa yanayowafanya wakizeeka wanashindwa hata kuongea vizuri...
Bro...-
Hey Crush ..
Sijambo .. habari yako Khantwe?
πππππEe kakukomesha unavyomsema hapa hah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawachi alinitag? Wapi?Hii inamaanisha ile tag ya Hawachi hukuiona. Thanks God[emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa nahisi kipande cha barafu, nitajiwekea jioni.
Pole kwa hayo maumivu.Niko karantini nikitoka nitakuja [emoji846]