Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mieleka ya zamani huko miaka ya 60 na 70 labda. Wakati ule mieleka ilikuwa ya kweli na siyo maigizo kama hii ya sasa...Unaangaliaga mieleka? Lastborn wetu anapenda vibaya mno sijui kwa kuwa ni wa kiume.
Me siyapendi hata kusikia sauti yake