Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

slide_2.jpg
 
Kabisa, nimerudi nikaenda kwa Boss wao (ni mmama, nikamwambia nurse fulani kanichoma sindano asubuhi mpaka sahivi bado inauma. Akanambia mie sio mtu wa kwanza kulalamikia sindano za yule nesi, akasema watamstopisha kuchoma watu sindano
Utakuwa ulioga Mara baada tu ya kuchomwa.
Ukichoma sindano halafu ukarudi nyumbani ukaoga lazima iume sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom