Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hudhibiti kila kitendo cha mwili, kama kutembea, viungo na misuli ya mwili na kupumua. Kadhalika ubongo unadhibiti shughuli zote za akili, kama kufikiri na kukumbuka mambo.
Je ile ya a,e,i,o,u ulijaribu? Yaan mdomo unapanuka pale unaposrma a ila ukiendlea kusoma herufi nyingine mdomo unapunguaHaha we Moudy wewe
Asante sana bro 🙏Mungu Akabariki kazi za mikono yako bro...
Huku sisi majumbani tu Korona imekaba aisee. Tuombe Mungu Atuvushe salama [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Sijajaribu hiyo. 😀😀Je ile ya a,e,i,o,u ulijaribu? Yaan mdomo unapanuka pale unaposrma a ila ukiendlea kusoma herufi nyingine mdomo unapungua
Kila mtu ana mkono wake,kwa mfano kuna msusi akikusuka mashallah unatoka kama vile kakubana nywele tu ila mwingine utadhani umechomekewa mibaHivi inakuwaje nurse X akikuchoma sindano inakuwa kawaida tu halafu nurse Z akikuchoma inauma mpaka inaweka kiuvimbe?!
Game plan hiyo kwenye soccer tunaita kupaki basimayweather anapigana kwa kujificha ovyo kama jogoo wa bagamoyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila saiv utakua umeijaribuSijajaribu hiyo. 😀😀