Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Karibuni tuichape pilau pori
FB_IMG_1585042494667.jpeg
 
Duu, alimpata mwanawe akiwa na miaka 18, ni kama wamekuwa pamoja na sasa wanazeeka pamoja[emoji849]
Mzee wa Miaka 80 baada ya kuhamia katika Nyumba ya matunzo kwa Wazee Jijini Liverpool, England. Mama yake mwenye Miaka 98 nae alihamia katika nyumba hiyo kwaajili ya kumsaidia mtoto Wake huyo. Anasema " Huwezi kuacha Kuwa Mama Kamwe"
 
Back
Top Bottom