Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Thomas Edison pamoja na Wafanyakazi wenzake wa Maabara walitengeneza kwa mara ya kwanza 'Pen' ya umeme mwaka 1875. Na hiyo ndiyo iliyobadilishwa na kuwa sindano ya umeme ya kwanza kwa kucholea Tattoo na Samuel O'Reilly mwaka 1890.