Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuweka chumvi kwenye matunda yenye ladha tamu kama mananasi inayafanya matunda hayo yawe matamu zaidi.Chumvi huwa inaziba vipokeo vya ladha ya ukali/uchachu kwenye ulimi na kuviacha vipokeo vya utamu pekee vikiwa wazi. Chanzo:ABC, Brit, HuffPost
 
Popo" wanatoa Sauti kali Ambayo imezidi zaidi ya Mara 2-3 ya uwezo wetu wa kawaida wa kusikia sauti. Hivyo kama Tungekuwa na uwezo wa kuisikia sauti hiyo, Tungekuwa Viziwi. Kumbuka: Hatuna uwezo wa kuisikia sababu imezidi uwezo wetu wa kusikia sauti kwa kawaida.
 
Utafiti: Kuna uwezekano wa kufanikiwa jambo lako kwa kiasi kikubwa kama utavaa nguo za rangi "Nyekundu". Tafiti mbalimbali zimeonesha, timu zinazovaa Jezi nyekundu zimeongoza kwa kushinda zaidi tofauti na timu zenye jezi rangi nyingine.
 
Anechoich chamber ni chumba maalumu kisicho na kelele hata kidogo. Ukiwa ndani ya chumba hicho unaweza kusikia sauti ya damu yako ikiwa inapita kwenye mishipa. Mapigo ya moyo wako yatakuwa na sauti ya juu sana kiasi cha kukuumiza masikio yako.Vyumba vya aina hii vipo sehemu mbalimbali duniani lakini kinachoshikilia rekodi ya kuwa na ukimya zaidi kinapatikana kwenye ofisi ya makao makuu ya Microsoft. Chanzo:CNN
 
Mzee wa Miaka 80 baada ya kuhamia katika Nyumba ya matunzo kwa Wazee Jijini Liverpool, England. Mama yake mwenye Miaka 98 nae alihamia katika nyumba hiyo kwaajili ya kumsaidia mtoto Wake huyo. Anasema " Huwezi kuacha Kuwa Mama Kamwe"
 
Back
Top Bottom