Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Africans...Wi a spesho [emoji123][emoji123][emoji123]
IMG_20200324_223023_174.jpg
 
Apambane na hali yake.
Kiburi ni joho la Mwenyezi Mungu, kila anayejaribu kuwa na kiburi anafanya kama kumvua joho mwenyewe.
Ajibebe tu maana hakuna namna
Tena anataka watu warudi makazini wakati wa Pasaka. Anaogopa uchumi ukivurugika anaweza asichaguliwe tena mwaka huu. Tayari kuna lawama kuwa janga la Korona hili hakulitilia maanani sana...
View attachment 1399000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom