Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

neno "CLONING" ni kitendo cha kutengeneza kiumbe kipya kupitia material ya kiumbe kingine ili kutafuta ufanano sawa katika maabara..clone ipo ya aina nyingi kama mimea na wanyama.. HUMAN CLONING; ni kitendo cha kuchukua cell,tishu na gene(DNA) ya mtu fulani na kutengeneza mtu mwingine anae fanana na yule wa mwanzo kwa kila kitu kupitia maabara..human clone ili anza miaka ya 1960..lakini badae umoja wa mataifa ulikataza kitendo hicho kibaya baada ya mwaka 1967 CIA kuaibishwa na bunge lamarekani kwa kufanya majaribio ya clone ya binadamu kwenye project ya mk-ultra..ndipo mataifa mengine yote yalipo acha.
 
neno "CLONING" ni kitendo cha kutengeneza kiumbe kipya kupitia material ya kiumbe kingine ili kutafuta ufanano sawa katika maabara..clone ipo ya aina nyingi kama mimea na wanyama.. HUMAN CLONING; ni kitendo cha kuchukua cell,tishu na gene(DNA) ya mtu fulani na kutengeneza mtu mwingine anae fanana na yule wa mwanzo kwa kila kitu kupitia maabara..human clone ili anza miaka ya 1960..lakini badae umoja wa mataifa ulikataza kitendo hicho kibaya baada ya mwaka 1967 CIA kuaibishwa na bunge lamarekani kwa kufanya majaribio ya clone ya binadamu kwenye project ya mk-ultra..ndipo mataifa mengine yote yalipo acha.
 
lakini kuna vikundi kama illuminant/ freemasoni wao waliendelea kufanya kitendo hicho kwasiri ili kutimiza lengo lao lakuja kuitawala dunia katika new word order..ikawa wanafanya hivi,endapo akitokea mtu marufu mwenye ushawishi mkubwa dunia ambae anapingana nao basi ilikuwa ana uwawa na kuchukua cells na gene zake ili kutengeneza mtu mwingine(copy) anae fanana na yule walie muuwa na huyu mpya ataendelea kufanya yale aliye yafanya yule lakini akiwa chini ya mamlaka yao hao freemason,au mfano mtu wao muhimu akitaka kufa wana mfanyia clone ili aendelee kuishi.. Katika hii ishu nikwamba wapo watu maarufu ikiwemo wanamuziki,wanasiasa na waigizaji ambao tuna wajua lakini sio halisi yani namaanisha walisha kufa kitambo lakini waka weka siri juu ya vifo vyao na kutengeneza copy ya mtu mwingine kama yeye ambae ana ishi mpaka sasa.. 👇hii apa list ya watu marufu ambao walikufa lakini waka fanyiwa clone ili waendelee kuishi.........
 
HUMAN CLONING(WATU COPY)👇
.👉kama nilivyo sema katika makala ya kwanza kwamba kunawatu ambao ni copy .hawa watu ninao enda kuwa elezea apa👇 sio halisi ni feki..
.
1.mwana mziki EMINEM.
👉najua watu wengi mna mfahamu uyu, ukweli nikwamba uyu eminem tunae muona sasa sio halisi ,eminem halisi alisha kufaga ila waliweka siri kuhusu kifo chake kisha waka mtengeneza mtu copy ambe anafanana kila kitu na eminem...jina EMINEM alilifanua kama "Every Mamals Is Nice except me" akimaanisha kwamba "kila kiumbe hai ni kizuri kasoro yeye". Eminem halisi inasemekana alisha kufaga toka mwaka 2006 ,kama unakumbuka mwaka 2006 ili tokea ishu kuhusu kuwa eminem amenusurika kifo baada ya kuji overdose na alikuwa ICU ,ukweli ni kwamba eminem baada ya kuji overdose alikufa lakini kutokana na umuhimu wake na kwa ushawishi wake mkubwa ikabidi wafiche siri juu ya kifo chake kisha wakachukua cell na jenis(DNA) zake nakutenge neza eminem mwingine huyu tunae mfahamu..na kama unakumbuka vizuri mwaka 2006 baada ya kupona maisha ya eminem yali badilika..mwili wake uli badilika ukichukua picha ya eminem wa miaka ya 2000 uki mlinganisha na wa miaka 2010 utagundua ,macho yake yame badilika kutoka blue kuwa brown,sura ,pua ,mtindo wa nywele na hata kichwa ni tofauti.
 
tokea apo ali anza kuimba nyimbo zinazo husu ushetani, na mara nying amenukuriwa sehemu tofauti akisema "anafikiria kuhusu kifo chake kila usiku anapo enda kulala"
pia zipo nyimbo zake ambazo amezungumzia kuhusu yeye sio binadamu wa kawaida . mfano, nyimbo ya "CINDERELLA" ikiwa na maana "huwezo wake hauja tambulika" kwenye hiyo nyimbo kuna sehemu amesema "send da feller shady done come to wrap the game up,in acellophane raise hell from hell he come,but didnt come to bore u with the cinderela story,nor did he come to do the same" aki manisha "wamemtuma mtu jeuri,mwongo kuja kukamilisha mchezo,ndani ya plastic amezaliwa kutoka matesoni/jehanam na kuja,lakini hajafika kukubugudhi kwa hadithi za sinderela,hapana amekuja kuyafanya yale........
 
HUMAN CLONING.
.
tukiwa tunaendelea kumzungumzia EMINEM, licha ya yemwenyewe kuweka wazi ishu hio ,kuna wasanii ambao wamesha wai kumzungu mzia eminim, ELTON JOHN ameshawai kusema kuwa katika wasanii ambao yeye ame kutana nao eminem ni mtu ambae haelewek uhalisia wake ,pia wapo wengine wengi walio muelezea eminem katika ishu iyo.
 
2.MICHAELI JACKSON.
huyu ni mfalme wa pop,ana julikana kama alikufa mwaka 2009,ukweli nikwamba yule alie kufa 2009 sio michael jackson halisi..michaeli jackson halisi alisha kufaga kitambo..michael jackoson alijiunga na kufanya kazi na illuminant/freemason ndipo alipo pata umarufu duniani.
 
mwaka 1984 michael jackson ali ugua ghafla na kufariki,lakini walificha siri na kuchukua celli na tishu zake waka mtengeneza michael jakson mpya (copy) ndipo alipo kuja kutoa nyimbo ya "thriller na BAD" ambazo alikuwa ana wasifia freemason na kufanya nao kazi lakini badae michael jackson copy ambae tunamfahamu sisi, ikafika kipindi aliamua kuacha kufanya kazi na freemason alitaka kuwa huru,apo ndipo tatizo lilipo anza kutokea kwasababu tayar alikuwa mali ya freemasoni.. na hilo zengwe lili anzia kwenye nyimbo ya "BLACK OR WHITE" ujumbe wa siri unaopatikana kwenye iyo nyimbo ni kwamba michael jackson ana wambia freemason wao na yeye sasa basi.
 
.katika wimbo huo michaeli jackson anaonekana akinawa maji matakatifu sauti ya shetani akiwa amekasirika inaskika,michael jackson anazaliwa mara tatu kama alama ya kuzaliwa upya kisha anapiga magoti mbele ya mungu na kuwa huru kutoka kwenye mikono ya freemason..kisha mwishon ana geuka panther ambae ina wakilisha nguvu ,huru..lakini tatizo ni kwamba alikuwa ni copy sio mtu halisi hivyo ilikuwa rahisi kwa freemason kumchukua... baada ya kupita mda hawa freemason walipo ona kuwa michaeli jackson anaweza akaja akatoa siri walijaribu kumsihi aendelee nao lakin michael jackson alikataa ndipo mwaka 2009 walipo amua kumuua ili kupoteza ushaidi..
 
Shuwani zake, ana nguvu kiasi gani kuwazaa wote hao.
Itakuwa mabaharia wa Morocco walimsaidia huyo[emoji1787][emoji1787]
 
Oxana Sheroshtan Dada Kutoka Nchini Russia, Anashikilia Record ya Dunia Kwa Kuwa Mtu Pekee aliyeweza Kutembea Juu ya Kamba Kwa Kutumia Kiatu chenye Soli Ndefu zaidi (High Heels) .
.
Oxana Aliweza Kuweka Record Hii Mwaka 2016 kwa kuweza Kutembea Katika Kamba yenye Urefu wa Mita 7.5 na akaweza kutembea mpaka mwisho na kugeuka kurudi mpaka mwanzo tena bila kuanguka
 
Oxana Sheroshtan Dada Kutoka Nchini Russia, Anashikilia Record ya Dunia Kwa Kuwa Mtu Pekee aliyeweza Kutembea Juu ya Kamba Kwa Kutumia Kiatu chenye Soli Ndefu zaidi (High Heels) .
.
Oxana Aliweza Kuweka Record Hii Mwaka 2016 kwa kuweza Kutembea Katika Kamba yenye Urefu wa Mita 7.5 na akaweza kutembea mpaka mwisho na kugeuka kurudi mpaka mwanzo tena bila kuanguka
 
BOMU MWEZINI - 1

Ilikuwa ni mwaka 1958, ambapo nchi ya Marekani iliandaa mpango wa kurusha bomu la nyuklia huko mwezini. Lengo la mpango huo ni kutaka kuudhihirishia ulimwengu kuwa Marekani ndio 'baba' wa sayansi ya anga duniani kote.

Unajua ni kwanini?..ngoja nikupe historia kidogo.

Baada ya kumalizika kwa vita ya pili ya dunia mwaka 1945, ulimwengu ukashuhudia kuibuka kwa pande mbili hasimu. Hapa nazungumzia upande wa nchi za kibepari ukiongozwa na Marekani 'USA', dhidi ya upande wa nchi za kisoshalisti, ukiongozwa na Muungano wa nchi za kisovieti 'USSR'. Uhasama huo ulipelekea kitu kinachoitwa 'Vita Baridi' ambapo tuliona pande zote mbili zikijiimarisha kwenye nyanja mbalimbali ikiwemo ulinzi na usalama, nguvu za kijeshi ambapo tulishuhudia uzalishwaji mkubwa wa silaha za nyuklia. Pia tuliona kukua kwa sayansi na teknolojia, huku majigambo na propaganda za vitisho zikitawalakila upande.
 
Kwa kifupi niseme kwamba kila upande ulikuwa unajiona ni bora kuliko mwenzie, na kila kukicha watu walikua wanakuna vichwa ili kufanya kitu kitakachowatia hofu wapinzani wao.

Katika ushindani huo tuliona pande zote hizo zikijitahidi kujiendeleza katika teknolojia ya sayansi ya anga 'Astronomy', ambapo kila upande ukijitahidi kufanya tafiti mbalimbali za anga na pia kutengeneza vyombo mbalimbali vya kwenda huko kwenye anga za nje ya dunia yaani 'outer space'. Kwa kufanya hivyo kukazaliwa kitu kinachoitwa 'Space race' ikimaanisha ushindani kwenye teknolojia ya Anga, ambapo kila upande (Marekani/ Usovieti) ukijikita katika kufanya vumbuzi na ubunifu wa vitu mbalimbali kwa manufaa ya nchi zao lakini pia kuuonesha ulimwengu kuwa 'hakuna zaidi yao'.
 
Urusi (USSR) ndio walikuwa wa kwanza 'kuliamsha'. Kwa sababu siku ya tarehe 4 oktoba 1957 waliweza kurusha satelaiti kwenda kwenye obiti ya dunia. Satelaiti hiyo iliyoitwa 'Sputnik 1' ilikaa huko ikiizunguka dunia kwa muda wa miezi mitatu.

Kitendo hiko kiliandika historia mpya ulimwenguni kwamba 'Sputnik 1' ndiyo satelaiti ya kwanza kurushwa kwenye anga za nje za dunia, lakini zaidi ya yote, Urusi/Usovieti ndio waliorusha.

'Marekani kuona hivyo, akaanza kuweweseka! Wivu na ghadhabu zikimjaa'.

Haikupita muda, urusi tena, wakausha 'sputnik 2'. Safari hii ikiambatana na mbwa aliyepewa jina 'Laika'. Historia nyingine ikaandikwa, kwamba Laika ndiye kiumbe hai cha kwanza kwenda anga za juu. Hadi hapo tunaona kuwa urusi 'USSR' ndio alikuwa kinara katika mbio hizi za ushindani wa teknolojia ya anga yaani 'Space race'
 
Aaaaah!!!

Baada ya kuona mpinzani wake ameonesha mafanikio makubwa ya kuushangaza ulimwengu, Marekani akajawa na hasira iliyoambatana na wivu. Akataka 'kujibu mapigo'. Hatimaye tarehe 6 disemba 1957 akaandaa roketi iliyoitwa 'Vanguard TV3' kwa ajili ya kurusha satelaiti kwenye obiti.

Bahati mbaya akashindwa, baada ya chombo hiko kulipuka hata kabla ya kuruka mbali. Marekani hakukata tamaa, mwezi mmoja baadae yaani tarehe 31 januari 1958, akafanikiwa kurusha satelaiti iliyojulikana kama 'Explorer 1'. Miezi miwili baadae, marekani ikarusha tena satelaiti kwenye orbit, satelaiti hiyo inajulikana kama 'Vanguard 1'.

Duu!..Sasa hadi hapo tunaona ushindani kati ya urusi na marekani ukawa ni 'ngoma droo', kwakua wote walikuwa wameshatoshana uwezo.

Ndipo sasa Marekani ikaanza kufikiria ifanye nini ili dunia nzima ijue kwamba yeye ndio 'gwiji' wa maswala ya haya anga. Ndipo akaja na mpango alioupa jina la 'PROJECT A199'. Lengo la mpango huu likiwa ni kudondosha bomu la nyuklia katika mwezi ili mlipuko wake uweze kuonekana hadi huku duniani. Na hatimaye watu wote tuweze kushuhudia jinsi mwezi unavyowaka moto.

Kwa kufanya Hivyo, Marekani iliamini kuwa itatengeneza heshima duniani kote, hasa kwa wale mahasimu wake, Urusi. Ndipo jopo la wataalamu takribani kumi wakiongozwa na Leonard Reiffel, walikutana mjini Chicago katika chuo cha 'Illinois Institute of Technology' kujadili mustakabali wa bomu hilo wanalotarajia kulilipua mwezini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…