Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
😀😀 ukitulia sasa
RIPSimba sports Club imefiwa na mwanachama wake mwandamizi ambaye pia aliwahi kuwa msemaji wake Asha Muhaji.
Pumzika kwa Amani dada Asha.
Mwenyezi Mungu akujaalie makazi mema peponi.
AminView attachment 1399253
Bro; basi juzi nikamuona dogo mmoja hapa anasukuma Rolls-Royce ukanijia akilini ghafla. Sijui kwa nini. Kama bado basi siku moja usukume ndinga kama hii bro. KD Himuselfu [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio ujue kama ulikuwa hujuiAiseee...[emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1399263
Kazi ipo kama ni kweli [emoji16][emoji16][emoji16]
Khaa afadhali ngoja nianze kukata mitaa kwa raha zanguAti nini?
View attachment 1399273
Halina maana yoyote ila mimi tu naona tabu kulitamka...yan sijui nalionajeKwani linamaanisha nini huko kwenu?
Hapana. Mimi tu mwenyewe siwezi kulitamka naliona zito.Au kisa kuna watu wanaitwa Dulla mbabe Dulla makabila