Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
😂😂😂 sawa nitakupa
😂😂😂 sawa nitakupa
😂😂😂😂
😂😂😂Unamsumbua sana bro
Last born wa uziKarma ndiyo nani ??
Au kisa kuna watu wanaitwa Dulla mbabe Dulla makabilaNitaita Abbie, Abdul ila Dulla big NO siwezi
Last born wa uzi
Au kisakuna watu wanaitwa Dulla mbabe Dulla makabila
Nyie madogo bado wadogo[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] hata wewe dogo unasema hivyo
😬😬 keyboard inateleza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu naona hilo neno ulitaka kuandika "kuna" ila ulichoandika ni wewe na keyboard yako ndiyo mnajua
[emoji23][emoji23][emoji23] asante kwa taarifa broHizo taarifa nitazifikisha kwa ningendako
[emoji23][emoji23][emoji23]Naona unataka kuharibu masharti ya dawa. [emoji23][emoji23]
Nyie madogo bado wadogo
😀[emoji23][emoji23][emoji23] asante kwa taarifa bro
Umri utadanganyaNani kakudanganya, watoto wa siku hizi hamna adabu kweli yaani mie nikikutajia umri wangu unaweza anza nipa shikamoo.
Salaam zimefika Ankoo [emoji120][emoji120]Hahah!
Anko wasalimie hao vijana hapo Mbezi
hatari sana.....unaweza kujikuta unazinguana na babu yako bila ya kujua
Shukrani Anko....Salaam zimefika Ankoo [emoji120][emoji120]
Nifikishie salaam kwa bimkubwa
Sent using Jamii Forums mobile app