Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Jamaa alifaidiMvua 30 laivu.....Hopulesi ticha...
View attachment 1399012
Ni moja ya maumivu makali sana anayo baki nayo mshuhudiaji.Yani mtu anakufa huku unamuona
😂😂😂😂😂 kumbe bado unazo?KD utaumia vidole[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na zile kucha sasa[emoji7]
Natamani nisindikizie picha nikuuze kidogo[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Inasikitisha sanaNi moja ya maumivu makali sana anayo baki nayo mshuhudiaji.
Nakumbuka kwenye harakati zangu za kutafuta pa kutokea ujanani tukiwa tumetoka Mocimboa da praia port tupo uelekeo wa rasi ya Palma tukiwa kwenye boti, tuliwapita Wamakua 26 kwenye chombo cha kutweka/mashua ( Daemusin anakijua vizuri) wakiwa wamejaza mahindi wanayapeleka Mtwara kuyauza. Saa 11 alfajiri taa za visiwa vya Commoro zikiwa zinaonekana kwa kufifia kudhihirisha kumekucha tukawa tunakatisha mto Ruvuma, Wamakua tulikuwa tumeachana nao kama mita 40 hivi, sheria za kuuvuka mto unaotembea ni kwa kuukata angle si zaidi ya nyuzi 30,ni eidha uufuate au uukimbie kwa nyuzi 30.
Hata sijui nini kiliwachanganya, maana pomboo walikuwepo wengi sana kama waongoza njia, yaani ndani ya dakika chombo kikawa kimepinduka na hakuna hata mtu anaonekana kuomba msaada.
Ndio, wote 26 wakaishia pale, ni mkondo mkali sana pale, hatukuona mtu. Walikufa maji.
Miaka24 imepita sijawahi kusahau, harakati zangu za kupita kwenye maji zikaishia hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
ngoja hii hadithi yako niisome tena kwa mara ya 10 huenda nitaielewa.Ni moja ya maumivu makali sana anayo baki nayo mshuhudiaji.
Nakumbuka kwenye harakati zangu za kutafuta pa kutokea ujanani tukiwa tumetoka Mocimboa da praia port tupo uelekeo wa rasi ya Palma tukiwa kwenye boti, tuliwapita Wamakua 26 kwenye chombo cha kutweka/mashua ( Daemusin anakijua vizuri) wakiwa wamejaza mahindi wanayapeleka Mtwara kuyauza. Saa 11 alfajiri taa za visiwa vya Commoro zikiwa zinaonekana kwa kufifia kudhihirisha kumekucha tukawa tunakatisha mto Ruvuma, Wamakua tulikuwa tumeachana nao kama mita 40 hivi, sheria za kuuvuka mto unaotembea ni kwa kuukata angle si zaidi ya nyuzi 30,ni eidha uufuate au uukimbie kwa nyuzi 30.
Hata sijui nini kiliwachanganya, maana pomboo walikuwepo wengi sana kama waongoza njia, yaani ndani ya dakika chombo kikawa kimepinduka na hakuna hata mtu anaonekana kuomba msaada.
Ndio, wote 26 wakaishia pale, ni mkondo mkali sana pale, hatukuona mtu. Walikufa maji.
Miaka24 imepita sijawahi kusahau, harakati zangu za kupita kwenye maji zikaishia hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀😀😂😂😂😂😂 kumbe bado unazo?
Usiniuze bhana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 unanilazimisha niwe wa kwenu eh?
Nadhani ninazo bado[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe bado unazo?
Usiniuze bhana