Na zako pia
Na zako pia
😀😀😀 Ni utani mkuuKama ni lake na unajua ni lake na unaendelea kulitumia bila ridhaa yake utakuwa unazingua.
Hapana mkuu sina ujana huo,wakati yanafanyika hayo nilikuwa nimesha maliza elimu yote ya lazima kwa mujibu.
😀😀😀 Ni utani mkuu
Ipi hiyo tena?
Hahah! Noma sanaSi mchezo.
Imagine weekends zilivyo ngumu sasa hivi.
Hahah!Hapana mkuu sina ujana huo,wakati yanafanyika hayo nilikuwa nimesha maliza elimu yote ya lazima kwa mujibu.
Nimesha zeeka, kwa maana nyingine sina ninacho jutia kwa kuwa imekuwa machweo kwangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji3][emoji3] Ni utani mkuu
Sio languKama ni lake na unajua ni lake na unaendelea kulitumia bila ridhaa yake utakuwa unazingua.
Tena Ni mbili sio moja.Ipi hiyo tena?
Unamsumbua sana bro
Akinipa zote nilizomuomba sitamsumbua.Unamsumbua sana bro
Acha kupenda mtelemkoHatimaye voda watulipa mb zetu (24hrs) zitumike!!!
Mdogo wangu
Nitaita Abbie, Abdul ila Dulla big NO siweziDulla ni kifupi cha Abdallah, Abdulrahman nk.