Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20200325-WA0004.jpg
 
Jikite hapa utaziona mada zote mkuu.
Uzi huu ni kokoro, umevuta mada zote zinazojadiliwa ndani ya jf.
Yaani nyuzi nyingi ndani ya uzi mmoja wa likes.
Hapa kuna maprofesa na sisi pangu pakavu tumekaa jukwaa moja tunacheka.
Nafasi kama hii huwezi kuipata popote ila kwenye uzi wa likes pekee
Tuna kina ngosha the Don,mzee wa tmk
Wapo kina mimi wachuma maparachichi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jikite hapa utaziona mada zote mkuu.
Uzi huu ni kokoro, umevuta mada zote zinazojadiliwa ndani ya jf.
Yaani nyuzi nyingi ndani ya uzi mmoja wa likes.
Hapa kuna maprofesa na sisi pangu pakavu tumekaa jukwaa moja tunacheka.
Nafasi kama hii huwezi kuipata popote ila kwenye uzi wa likes pekee

Ahaaa wabheja Sana home boi
Let's See what it is [emoji2936][emoji95][emoji2935]
 
Raia 64 na wa Ethiopia wamekutwa wamefariki ndani ya kontena huko Tete Msumbiji.
Wengine 14 wamekutwa hai.
Uchunguzi wa awali unaonyesha kuwa watu hao walikosa hewa ya oxygen ndani ya kontena hilo la kusafifishia mizigo.
Dereva la lori hilo amesema ameahididiwa tsh milioni moja kuwafikisha watu hao
FB_IMG_1585138469462.jpeg
 
Back
Top Bottom