Duh kweli upo ngoja nianze kuchukua tahadhari
Duh kweli upo ngoja nianze kuchukua tahadhari
Hahah! Kwa sifa alizokupa mnywa urojo ilitakiwa uitwe prince😀😀😀
Eti King Davet
Naona tayari mgombea wa makamanda keshapatikana!
Hahah! Achana nae huyo dogoHahah! Kwa sifa alizokupa mnywa urojo ilitakiwa uitwe prince
Sheria ya aina ya sindano niliyotakiwa kuchomwaKwa nini ukakubali uchomwe ya matter call
Naona tayari mgombea wa makamanda keshapatikana!
Rudi ulaleNaona tayari mgombea wa makamanda keshapatikana!
Rwanda wapo wangapi?
Subiri niulize hapa nitakupa jibu
Duh! umefikia utukufu huo mkuu?[emoji3][emoji3][emoji3]
Eti King Davet
Hatari sanaMpaka tarehe 24 March inaonyesha kuwa Zimbabwe imepata visa vya watu 100 kuambukizwa na sababu kubwa kwamba nchi hiyo ipo karibu zaidi na Afrika Kusini yenye wagonjwa wengi, mpaka sasa ikifutiwa na Congo yenye watu 14.
Rwanda ina wagonjwa 11
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Safi sana
View attachment 1398949
Naona tayari mgombea wa makamanda keshapatikana!
KD njoo unywe chai,Kd usiwashe tv utaumia mikono,KD njoo ule chakula[emoji3][emoji3][emoji3] kimekuchekesha nini?
[emoji23][emoji23][emoji23] hiyo dawa hiyo ya kupeana ndani tena na mgonjwa abaki nje [emoji119]
Haha natumaini mgonjwa kasikia MkokaaMara nyingi dawa za kiafrika zina mashariti mengi, vumilia masharti hayo madogo ili tumponye ndugu yetu[emoji1787][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kirefu cha KD bro