Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Naona unajitahidi kulikataa jina la abdulrahman[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti anafaa kua Abuu. Daah!
Jina langu halisi halijakaa kidini yani likitajwa sehemu huwezi kujua ni mtu wa dini gani
AbuuKd anafaa kua abuuuu maana ndo majina ya lastborn[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ππ haina kabayaBarida basi ukitulia utapita nayo
ππππ
Andondolile vipi bado unakataa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi bado upo kwenye mchakato wako wa kunipachika jina kwa lazima?
Anatupiga chenga tu huyu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah hadi nimeanza kuwa curiously na hilo jina halisi
Fid QTunachukina kwasababu hatujajuana....
Hatujuani kwasababu tunaogopana......
Dunia ni nzuri binadamu hawana maana....
Ata sura yangu haifanani na kuitwa Abuu kabisa
Upo vizuri sana π
[emoji16] shetani akiokoka hugeuka malaika wewe kwenye uzi wa Liverpool umeenda lini?Utaitwa tu boss,Wala usijali.
Hushindi hapa Mara nyingi.. jitahidi kushinda hapa ila uchangiaji wako uwe hivihivi[emoji1787][emoji1787]
Usiwe Kama kule Kwenye Uzi wa liva[emoji85]
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi Junior au tuseme juniaaaAta sura yangu haifanani na kuitwa Abuu kabisa
ππππ wewe binti mpole weweBasi Junior au tuseme juniaaa
55555 cheiiiiiiππππ wewe binti mpole wewe
Sio uzi wa liva tu.[emoji16] shetani akiokoka hugeuka malaika wewe kwenye uzi wa Liverpool umeenda lini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Au December[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe binti mpole wewe
ππππ55555 cheiiiiii
π€£π€£π€£π€£ kwanini uliogopa?Sio uzi wa liva tu.
Nakuona nyuzi nyingi..hata ulipokuja hapa nikaogopa hata kukuqoute[emoji85]
Sent using Jamii Forums mobile app