HUMAN CLONING(WATU COPY)[emoji116]
.[emoji117]kama nilivyo sema katika makala ya kwanza kwamba kunawatu ambao ni copy .hawa watu ninao enda kuwa elezea apa[emoji116] sio halisi ni feki..
.
1.mwana mziki EMINEM.
[emoji117]najua watu wengi mna mfahamu uyu, ukweli nikwamba uyu eminem tunae muona sasa sio halisi ,eminem halisi alisha kufaga ila waliweka siri kuhusu kifo chake kisha waka mtengeneza mtu copy ambe anafanana kila kitu na eminem...jina EMINEM alilifanua kama "Every Mamals Is Nice except me" akimaanisha kwamba "kila kiumbe hai ni kizuri kasoro yeye". Eminem halisi inasemekana alisha kufaga toka mwaka 2006 ,kama unakumbuka mwaka 2006 ili tokea ishu kuhusu kuwa eminem amenusurika kifo baada ya kuji overdose na alikuwa ICU ,ukweli ni kwamba eminem baada ya kuji overdose alikufa lakini kutokana na umuhimu wake na kwa ushawishi wake mkubwa ikabidi wafiche siri juu ya kifo chake kisha wakachukua cell na jenis(DNA) zake nakutenge neza eminem mwingine huyu tunae mfahamu..na kama unakumbuka vizuri mwaka 2006 baada ya kupona maisha ya eminem yali badilika..mwili wake uli badilika ukichukua picha ya eminem wa miaka ya 2000 uki mlinganisha na wa miaka 2010 utagundua ,macho yake yame badilika kutoka blue kuwa brown,sura ,pua ,mtindo wa nywele na hata kichwa ni tofauti.