Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kwa Mfalme Sulemani aliyekuwa na wake 700 na makahaba 300 huyu bado cha mtoto tu...
#Duniayawababe
Waarabu wa Pemba hao wanajuana kwa vilemba 😀😀😀 inatakiwa amtag
Niliimba juzi.
Oyoooooo 😂😂😂😂Seli wangu we kimwana
Nataka tufunge ndoa
Unizalie watoto
Oyoooooo 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂 inashangaza sanaConspiracy zingine bana. Mtu akishakufa halafu wakimfanyia cloning si anazaliwa/anaanza kama mtoto kwanza? Inawezekana kweli kuliclone jitu zima kama liEMINEM eti ukalitoa photpcopy lizima lizima hivyo hivyo lilivyo na midevu likiwa tayari kurap kwa spidi kali? Je, litajuaje kuhusu mambo ya utotoni na maisha lililopitia kama mambo haya huhifadhiwa katika ubongo na siyo DNA? Cloning ipo lakini huyu nadhani anaongelea kitu kingine au hajui dhana nzima ya cloning.....
😂😂😂😂😂
22 Kale nilitembea
Ni kamba bro. Stori za kijiweni [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inashangaza sana
Hapa bila jina mtu hatakumbuka hii nyimboNilikua gizani natangatanga njia siioniii ukatokeaa binti ukatokeaa binti ukatokea pendo ukanipa pendo ukanipa
Aeeee nakupendaaa sio siri ninakuzimikia,aaee nakuhusu sio siri nikuhusudu
Pendo ulilonipa sitosahau
Aka u tube mr paul zitakuja nyimbo zakeHapa bila jina mtu hatakumbuka hii nyimbo
Chizi wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Waarabu wa Pemba hao wanajuana kwa vilemba [emoji3]
😂😂😂 leo mnanifurahisha sanaHeheheheeee sio kwa cheko hiloooo
SiaminiOyoooooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]