Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,389
- 59,151
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah ahsante sana, tukienda nyumbani Korea nitakununulia Soju
tafuta snipping tools uzikate ili ziwe picha mbili.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah ahsante sana, tukienda nyumbani Korea nitakununulia Soju
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini ziwe mbili?tafuta snipping tools uzikate ili ziwe picha mbili.
kuhusu soju tuseme inshaallah (Akipenda Mungu)
uweke kumbu kumbu🗣🗣🗣
Alikuwa mzuri wa sura. Mengine yote hayafai.
tafuta snipping tools uzikate ili ziwe picha mbili.
kuhusu soju tuseme inshaallah (Akipenda Mungu)
Mkienda huko kwenu(korea).[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah ahsante sana, tukienda nyumbani Korea nitakununulia Soju
Sent using Jamii Forums mobile app
kila la kheri.....
Ni kutesa kwa zamu. Nayo itapita !!!Dah hili janga la Covid-19 ni hatari.
Yaani sasa hivi husikii habari nyingine kubwa zaidi ya hii .
Hakuna cha Brexit, hakuna kutambiana kati ya Iran na USA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unawapenda hawa viumbe mkuu?
Hiyo avatar ndiyo nini sasa?
Mkorea keshajiwahi dah [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti ki-mombasa