Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,748
Nipo kwa kiranja wa mabeberu mkuu wanguhongera..... na wewe upo marekani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo kwa kiranja wa mabeberu mkuu wanguhongera..... na wewe upo marekani?
KD usishike remote utaumiza mikonosiwezi kushindana na mwanadamu anayeamka saa 5 asubuhi............
he speaks ingilishi like secretary pompeo
he drinks maziwa every morning
davet ni mboga 10
nina wasiwasi jamaa amechongesha master key chumbani kwake.KD usishike remote utaumiza mikono
KD usifanye kazi ,we katengeneze six pack tu
Kd chakula tayari uje tukulishe
Sent using Jamii Forums mobile app
kupenda, kuvutiwa, ubora, sifaHizo like naomba nifahamishwe kwa lugha mama ya kiswahili
Tayari nishakuelekeza mkuu kwa vitendo tenaHizo like naomba nifahamishwe kwa lugha mama ya kiswahili
😂😂😂😂
- myoyambendi amelala Tanga (kwa mke wake wa pili)
- davet ameshafungiwa mlango wa chumbani (amelala)
- wamarekani weusi ndio kwanza wanapata lunch
COVID-19 ni talk of the worldDah hili janga la Covid-19 ni hatari.
Yaani sasa hivi husikii habari nyingine kubwa zaidi ya hii .
Hakuna cha Brexit, hakuna kutambiana kati ya Iran na USA.
Sent using Jamii Forums mobile app