Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

fee0b233-f6de-40b0-a56c-96c66d3f7109.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli kabisa bro.
Mwenyezi Mungu ndiye mwenye ufundi wa kumfanya huyu awe hivi na mwingine awe vile.
Tumshukuru tu Muumba kwa majaaliwa yake
Tuzidi kumuombea japo ni ngumu nchi yetu kufanya uamuzi kama walio utoa urusi wa kumuacha raisi wao madarakani mpaka 2036 ila tuamini Mungu yupo pamoja nasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom