Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mimi wewe Mimi nitakufa na wewe

Nakupenda nakupenda ntazidi kukupenda
Nitakufwata pale pote we utapokwenda
Iko kazi nikikuona moyo unadunda
Niko radhi ndugu zangu nananana

Nilikwambia Mimi pesa Sina
Ukaninibu uko radhi tutaona
Bila kitanda ulijibu hata chini tutalala
Bila chakula ukasema hata dagaa tutakula

Nanana nitakufa na wewe
Hata useme Nini nitabaki nawewe
Mpaka mwisho nanana
Nitabaki na wewe
Tatalatatalata

Mr blue

Wanawake Hawa washakufa na kivuko ukerewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo hizi hizi japo sasa zimeharibika. Yaani hatuwezi kuendesha miradi kwa weledi sijui kwa nini. Shame on them wanaondesha mradi huu ambao miaka michache tu huko nyuma wengine walikuwa wanakuja kujifunza kwetu
Naona umeamua ubadili mada[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sawa the Don[emoji120]
Maza juzi aliuliza Hali yako..nikakukumbuka.
Nikasema nikibahatika kuchat na wewe nitakwambia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
465016059_311705.jpg
 
Raha ya tunda
Nani Nani sijui ft Duly Sykes
.Raha ya tunda unipe nikupe
Mapenzi nanana.
Najua unanipenda Mimi
Mwenzio ninasikia Raha

Wazee walisema ya kweli hohohoo
Umpende akupendaye asiyekupenda achana naye

Ya ukweli yanatoka moyoni oooh
Na mengine ya uongo yatafwata baadae

Kama kupenda nakupenda mwenzio ooh punguza wivu tuwe pamoja Mimi nawe

Tufunge ndoa ya Haki mi na we o oooh
Nyumbani kwa baba na mama mpenzi wangu Raha ya tunda[emoji7][emoji3590][emoji442][emoji446][emoji443]

kupatwa kwa lyrics........

tunamshukuru raisi magufuli kwa kutuwezesha mkoa wetu wa mbeya kutoa muandishi mzuri wa nyimbo.
magufuli adumu milele ndivyo tunavyosema sisi jamii ya mwakanyimbo na mwaka lyrics.
 
Aturilikisi mwakanyimbo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom