Samily de cruze
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 230
- 683
Uyo jamaa asee kama rais tumepataHahaha
Jiwe alienda kulalia jiwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Uyo jamaa asee kama rais tumepataHahaha
Jiwe alienda kulalia jiwe
Emu Fanya haaaaaa
Mwaka 2015 wanasayansi waligundua kuwa meno ya konokono inawezekana ndiyo kitu kigumu zaidi cha asili duniani.
Je, Ulijua hili? Konokono anaweza kuwa na meno 14000!
Chanzo:CBS News
Vipi kuhusu nguvu za kike?
Hahaha
Jiwe alienda kulalia jiwe
Nimesikia issue zao mpaka wanataka kumpoteza GSM, yani Yanga wanatia aibu na njaa zao sio siri wanahitaji kufanya mabadiliko katika mfumo wao wa kuendesha ile timu......Wanagombea maslahi, hata hivyo Yanga baada kuhisi harufu ya kumpoteza fundi wao wanapanga mikakati ya kifedha kuzuia mbinu za Simba.
Nadhani mwenye kisu kikali atakula nyama
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂 kwa dentist hiyo kibongo bongo unaambiwa fanya Haaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ushajaribu hiyo[emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Vipi kwema lakini huko AR
Sent using Jamii Forums mobile app