Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kabila la Dani, Indonesia. - Wanaume hawavai nguo. Wanaficha uume tu kwa kuvalisha pembe.- Wanawake wanavaa sketi za magome ya miti na nyasi. Juu hawafuniki.- Wanawake hukata vidole vyao pale waume zao wanapokufa ili vizikwe nao.Chanzo😀ailyMail