moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shepu kama langu tu
Shepu kama langu tu
Hivi namba 6 ni mimi? Mbona kwangu namba zimeanzia 20?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]namba 6 umeitendea haki
We mkorea ni mchawi sio bure
Nipe uelekeo nikuletee.
Party je kama ni chama cha vikobaHatualikani? 😳
Ukiwa mzee na/au una matatizo mengine ya kiafya Korona is proving to be extremely potent. Aurlus Mabele nasikia alikuwa mgonjwa amepooza hivyo Korona imekuja kumalizia tu. Na uzee kwa kawaida huambatana na ndwele kadhaa wa kadhaa hivyo Korona inatoa assist tu ya kukamilisha safari. Wapumzike kwa amani wazee hawa.nadhani korona inabaki kuwa ni kisingizio cha kumalizia uhai wa baadhi ya marehemu (wengi wao huwa na matatizo makubwa yaliokuwa yakiwasumbua kabla ya korona)
either cancer, pressure ya damu, sukari, paralysis, stress,
Hata muandiahi atakua na kaugonjwa kakehata yule raisi wa real madrid alikwa mgonjwa wa kufa
yule kocha kijana alikuwa na cancer
sijui yule muandishi kijana wa zimbabwe kama chanzo chake kikubwa ni corona au ndio hivyo tena alikuwa na ugonjwa mwengine unaomsumbua.
nadhani korona inabaki kuwa ni kisingizio cha kumalizia uhai wa baadhi ya marehemu (wengi wao huwa na matatizo makubwa yaliokuwa yakiwasumbua kabla ya korona)
either cancer, pressure ya damu, sukari, paralysis, stress,
Haya, nakuja. 🚶♂️🚶♂️🚶♂️
Sawa nitakusubiriaHaya, nakuja. [emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Naona Fletcher Jere alikutana na kitu nadra kinachofinyiamo ndani kwa ndani halafu bofulo bofulo kimeumuka tena juicy fulu mafuta orijino ya motoo mpaka akasalimu amri. Apumzike kwa amani baharia huyu kwa kufa kifo cha faraja huku akipigania heshima ya ukoo na urijali wake....[emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1398512
Kule majuu State moja inaitwa California, hao watu wanaitwa; Binary. 😁Ni +ke, +me au ni miksa maalum?
huyo mwanamke itakuwa alijipaka asali, jam, mayonnaise na maziwa ya cow bell mwili mzima ndio maana alikuwa sweet to mr marehemu.Naona Fletcher Jere alikutana na kitu nadra kinachofinyiamo ndani kwa ndani halafu bofulo bofulo kimeumuka tena juicy fulu mafuta orijino ya motoo mpaka akasalimu amri. Apumzike kwa amani baharia huyu kwa kufa kifo cha faraja huku akipigania heshima ya ukoo na urijali wake....[emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1398512
Majina ya kibantu ni yapi? Ushawahi kusikia jini anaitwa Nyangeta, bhoke au mwinga?majini wanataka pete ya dhahabu, wafugiwe mbuzi, njiwa mweupe, vitambaa (rangi nyekundu na nyeupe)
kwa nini majini wengi ni waarabu?
kwa nini majini wengi wana majina ya kibantu?
shikamooni majini