Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23] dunia ina mambo
Utakuta alikuwa na ugonjwa wa moyo japo alikuwa hajui. Na akawa amekamia sana labda kwa kujipigilia mi red bulls na pombe kali ili atoe show ya kibabe kwa binti huyu aliyemnunua kumbe moyo ukaelemewa...

Inatokea sana hii siku hizi ndiyo maana madaktari wanashauri sana watu wasichanganye haya madude na hata haya mavidonge ya kuassist upandishaji wa minara kama viagra, cialis, vumbi la Kongo na mengineyo kama hawajui afya ya mioyo yao.
 
Kama hujui maana yake basi wewe siyo poti. [emoji16]
Hahaha sawa, ila hilo jina nililipata kwa binti mmoja sijui msukuma yule mtoto? Alikuwa mzuri balaa, ana kasura fulani hivi karefu, alikuwa mwembamba ila ana shepu matata, mpoleee yaani nilikuwa nampenda sana japo sikuwa na mazoea nae sana nilikuwa tu namuona kanisani. Amesababisha hadi nalipenda hilo jina yani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom