Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kikundi cha watu wakicheka kwa pamoja kila mmoja humuangalia mwenzake anaempenda (Anaevutiwa nae)
Yego nikwambie kitu? [emoji16]Hasa hiyo ya, babe; "Nikuambie kitu?" [emoji16]
Kwa maana nyingine unaniambia huyu alishaimbiwa "Anameremeta" miaka mitatu iliyopita. 😁Hahaha kama wewe kaka yake utakuwa unajua alipo maana tayari ulishakula mahari tangu mwaka juzi
Sent using Jamii Forums mobile app
🙆♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Haswaa [emoji16][emoji16] kwa sifa nilizokupa hizo angebakia hadi leo anafanya nini? Mabaharia wanamuangalia tu???Kwa maana nyingine unaniambia huyu alishaimbiwa "Anameremeta" miaka mitatu iliyopita. [emoji16]