Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
MAREKANI: Bangi ni marufuku katika Majimbo zaidi ya 45 lakini Kufanya Mapenzi na Farasi, ni Marufuku kwa Majimbo 27 tu, Mengine ruksa. Kumbuka Marekani Kuna Majimbo 50 Tu.
pumbavu....Hakuna neno la lugha yoyote unaloweza kuandika kwa kutumia mstari wa mwisho wa keyboard ya simu au kompyuta yako.
👍👍👍👍Kufikia Kilele au Mshindo mara kwa mara huongeza Ubunifu, Uwezo wa Maamuzi na pia Ushirikiano kwa wenzako.
Umeanza...na tafiti zako hizi....Uume huongezeka urefu kwa wanaume wanaofanyiwa mapenzi kwa njia ya mdomo.(Utafiti wa Dr Debby Herbenick, Marekani, 2013)Kumbuka:Mapenzi ya mdomo yanasababisha kansa ya koo.Chanzo:MedicalDaily & Wiley(OnlineLibrary)
Hata mimi nataka sana kujua aliko huyu bageshi. Lilikuwa kanisa gani? Wapi?Hahaha kama wewe kaka yake utakuwa unajua alipo maana tayari ulishakula mahari tangu mwaka juzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi huwa nafurahiSaikolojia; Watu hupata wasiwasi wanapoulizwa "Nikuulize swali?". Au "Nikuambie kitu?".
Kwahiyo mnatudhihaki wenye shepu kama hizo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😀😀😀😀 yan wewemuda sahihi wa kufunguka, no mapira itabidi tufuatilie siasa za bongo country kwa lazima
karibu nyumbani kwetu brother......
ngoja nikutembeze nyumbani kwetu upate kuwafahamu wanafamilia wa nyumba hii.
usisahau humu ndani nimeingia bila ya kukaribishwa...... wanywaji urojo na kahawa hatuhitaji mkaribisho wa mwenyeji
- davet: handsome kutoka vingunguti, karne hii ya 21 ndiye mtoto wa kiume pekee duniani anayechemshiwa maji ya kukoga, davet njoo ule, davet skuli tayari, davet usiwashe tv utaumiza vidole, davet maji tayariiiii
- mfilisti: amejaa sifa zilizojaa ujinga ndani yake, baada ya wiki moja ya ndoa hatimaye ametelekeza mwanamke...chanzo kikubwa ni madeni yaliotokana na maandalizi ya ndoa..... mpaka suti alikopa mjinga huyu
- myoyambendi: jasusi kutoka CIA, huyo mzee anatembea na daftari la kuandika comments (poleni, hongereni, kalaleni, amkeni, inukeni, zindukeni, someni, chezeni,oeni, zaeni)
- moudgulf: shabiki wa liverpool, mchimba madini, mtembezaji watalii, mshabiki wa simba....huyu jamaa anatamani corona imalize kesho.... usiniulize kwa nini. Pia ana kaka yake anaitwa myoyambendi ikifika muda wa kula wanashtuana kwa code maalum...... amezaliwa miaka 40 iliopita lakini hajawahi kushuhudia liverpool wakibeba ubingwa wa uingereza....... you will never walk aloneeeee ..... my foot
- the happiness: handsome girl (beautifuly) kutoka buza, ndiye anayemweka mjini Davet..... mahari yake amechumbiwa ndege aina ya tausi pamoja na mbwa wa kizungu.
- khantwe: huyu mwanamke nilikuwa naogopa hata kulike comment yake miaka ya mwanzoni, kumbe ni mcheshi halafu ana degree 9 moja wapo ni bachelor degree of kutembelea kila jukwaa. kiukweli ile avatar yake ya zamani nilikuwa siipendi....bibi harusi alikuwa mbayaaaaa kuliko chloroquine, bwana harusi karegeaaa kuliko nzi...... huyo khantwe ni mrembo kuliko mwanamitindo wa sudan ya kusini
- kgothalo: no comment (huyu dada bado namuogopa) ..... mrs DJ from california madridista de italia
- Numbisa: anawachukia wasafi lakini ameajiriwa wasafi (nimtakae hataki, nisiyemtaka hajiwezi kwangu)... ukisikia nyoka ameliwa na kuku ndio hiyo sasaaa..... ni mrembo kuliko zena na betina
- hawachi: mrs beautiful , time travel, leo yupo dubai, mchana yupo vingunguti, usiku yupo wete........ ana degree ya mapishi hususani ugali, dona, sembe na kachumbari........
- depal: sijui jana nilimkera (hapana hapana depal huwa hakerwi na porojo langu), mchumba wake nitamtaja hapo baadae...... jina lake la umaarufu ni BABLAI...... ni mrembo kuliko binti wa jeje uyo jeje 🎤 🎤
- ningendako: alipotea takribani mwezi mmoja hatimaye mchumba wake akapatwa na stress, anapenda series, mchumba wake anaitwa depal....... handsome kutoka kolomijeee.......
- cole williams: no comment, jamaa ndiye muongoza njia wa davet.....ndiye anayemnunulia davet CD za hip hop, movies etc
- ayyanna: namuonea huruma huyu binti, nilimpenda lakini alinikataaa kwa sababu (nakunywa urojo).... leo yamemkuta hatimaye amekwenda kuomba hifadhi kwa msukuma....... mwache akalishwe sembe kama mfungwa
- mkokaa: mtaliano mweusiii kama ukuta wa jikoni.... mdogo wake super mario balloteli..... amekimbia kwao kwa sababu ya corona
- capitalpool: mzee wa code a.k.a compiler
- saint anne:mpenda maparachichi, huyu naye namuogopa ogopa (nataka niombe naye mechi siku moja)....... aliwahi kupambana na watu tisa na alishinda pambano.... anaipenda liverpool lakini maishani mwake ameangalia mechi moja tu dhidi ya atletico madrid pale anfield na walifungwa. ni mrembo kuliko yule binti wa onaana onaa na nnaa baby weeeee🎤🎤🎤
- shimba ya buyenzeee: msukuma wa kwanza kumiliki gari, msukuma wa kwanza kula pilau na bugger, msukuma wa kwanza kumiliki camera, msukuma wa kwanza kumiliki server (wasukuma walikuwa wanaabudu kununua baiskeli na vipolo vya mahindi)......wanamwita captain wa likes thread (jamaa ni great thinker lakini anajifanya too less know..... ingilishi ya kwetu hiyoo)
- zoe:no comment (sijamchunguza kwa undani)
- mmoja nimemsahau ...... ni keeee
Daah, Numbisa bana. Sisi WAGUMU tunapita tu, shaaaah! 😁Uume huongezeka urefu kwa wanaume wanaofanyiwa mapenzi kwa njia ya mdomo.(Utafiti wa Dr Debby Herbenick, Marekani, 2013)Kumbuka:Mapenzi ya mdomo yanasababisha kansa ya koo.Chanzo:MedicalDaily & Wiley(OnlineLibrary)