Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Corona barani Ulaya
FB_IMG_1585059441589.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona leo mzee unafunguka.

Sent using Jamii Forums mobile app
muda sahihi wa kufunguka, no mapira itabidi tufuatilie siasa za bongo country kwa lazima

karibu nyumbani kwetu brother......
ngoja nikutembeze nyumbani kwetu upate kuwafahamu wanafamilia wa nyumba hii.
usisahau humu ndani nimeingia bila ya kukaribishwa...... wanywaji urojo na kahawa hatuhitaji mkaribisho wa mwenyeji
  1. davet: handsome kutoka vingunguti, karne hii ya 21 ndiye mtoto wa kiume pekee duniani anayechemshiwa maji ya kukoga, davet njoo ule, davet skuli tayari, davet usiwashe tv utaumiza vidole, davet maji tayariiiii
  2. mfilisti: amejaa sifa zilizojaa ujinga ndani yake, baada ya wiki moja ya ndoa hatimaye ametelekeza mwanamke...chanzo kikubwa ni madeni yaliotokana na maandalizi ya ndoa..... mpaka suti alikopa mjinga huyu
  3. myoyambendi: jasusi kutoka CIA, huyo mzee anatembea na daftari la kuandika comments (poleni, hongereni, kalaleni, amkeni, inukeni, zindukeni, someni, chezeni,oeni, zaeni)
  4. moudgulf: shabiki wa liverpool, mchimba madini, mtembezaji watalii, mshabiki wa simba....huyu jamaa anatamani corona imalize kesho.... usiniulize kwa nini. Pia ana kaka yake anaitwa myoyambendi ikifika muda wa kula wanashtuana kwa code maalum...... amezaliwa miaka 40 iliopita lakini hajawahi kushuhudia liverpool wakibeba ubingwa wa uingereza....... you will never walk aloneeeee ..... my foot
  5. the happiness: handsome girl (beautifuly) kutoka buza, ndiye anayemweka mjini Davet..... mahari yake amechumbiwa ndege aina ya tausi pamoja na mbwa wa kizungu.
  6. khantwe: huyu mwanamke nilikuwa naogopa hata kulike comment yake miaka ya mwanzoni, kumbe ni mcheshi halafu ana degree 9 moja wapo ni bachelor degree of kutembelea kila jukwaa. kiukweli ile avatar yake ya zamani nilikuwa siipendi....bibi harusi alikuwa mbayaaaaa kuliko chloroquine, bwana harusi karegeaaa kuliko nzi...... huyo khantwe ni mrembo kuliko mwanamitindo wa sudan ya kusini
  7. kgothalo: no comment (huyu dada bado namuogopa) ..... mrs DJ from california madridista de italia
  8. Numbisa: anawachukia wasafi lakini ameajiriwa wasafi (nimtakae hataki, nisiyemtaka hajiwezi kwangu)... ukisikia nyoka ameliwa na kuku ndio hiyo sasaaa..... ni mrembo kuliko zena na betina
  9. hawachi: mrs beautiful , time travel, leo yupo dubai, mchana yupo vingunguti, usiku yupo wete........ ana degree ya mapishi hususani ugali, dona, sembe na kachumbari........
  10. depal: sijui jana nilimkera (hapana hapana depal huwa hakerwi na porojo langu), mchumba wake nitamtaja hapo baadae...... jina lake la umaarufu ni BABLAI...... ni mrembo kuliko binti wa jeje uyo jeje 🎤 🎤
  11. ningendako: alipotea takribani mwezi mmoja hatimaye mchumba wake akapatwa na stress, anapenda series, mchumba wake anaitwa depal....... handsome kutoka kolomijeee.......
  12. cole williams: no comment, jamaa ndiye muongoza njia wa davet.....ndiye anayemnunulia davet CD za hip hop, movies etc
  13. ayyanna: namuonea huruma huyu binti, nilimpenda lakini alinikataaa kwa sababu (nakunywa urojo).... leo yamemkuta hatimaye amekwenda kuomba hifadhi kwa msukuma....... mwache akalishwe sembe kama mfungwa
  14. mkokaa: mtaliano mweusiii kama ukuta wa jikoni.... mdogo wake super mario balloteli..... amekimbia kwao kwa sababu ya corona
  15. capitalpool: mzee wa code a.k.a compiler
  16. saint anne:mpenda maparachichi, huyu naye namuogopa ogopa (nataka niombe naye mechi siku moja)....... aliwahi kupambana na watu tisa na alishinda pambano.... anaipenda liverpool lakini maishani mwake ameangalia mechi moja tu dhidi ya atletico madrid pale anfield na walifungwa. ni mrembo kuliko yule binti wa onaana onaa na nnaa baby weeeee🎤🎤🎤
  17. shimba ya buyenzeee: msukuma wa kwanza kumiliki gari, msukuma wa kwanza kula pilau na bugger, msukuma wa kwanza kumiliki camera, msukuma wa kwanza kumiliki server (wasukuma walikuwa wanaabudu kununua baiskeli na vipolo vya mahindi)......wanamwita captain wa likes thread (jamaa ni great thinker lakini anajifanya too less know..... ingilishi ya kwetu hiyoo)
  18. zoe:no comment (sijamchunguza kwa undani)
  19. mmoja nimemsahau ...... ni keeee
 
😂😂😂😂 no. 17....
 
Back
Top Bottom