Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
My heart was blinded by you
Mzee,hii comment nimecheka kinoma hasa hapo kwenye unyumbulifu[emoji23][emoji23][emoji23]...kiwango changu bado hakijakuwa kujumuishwa kwenye kikosi bora kama hikiUnatuangusha Mzee si umefanya sana training na first team na kocha alijitahidi kuweka viungo wote wanyumbulifu lengo utuwakilishe yanapotokea mazoezi kama hayo
hunijui sikujui muhuni weweee......
bishoo anapikiwa maziwa nyumbani kwao na beki 5.
naishi ghetto tokea nina miaka 7.
Hata mimi nimeona nikacheka tu kimya kimya. Mpaka nimekumbuka mnyumbuliko wa vitenzi [emoji16][emoji16][emoji16]Mzee,hii comment nimecheka kinoma hasa hapo kwenye unyumbulifu[emoji23][emoji23][emoji23]...kiwango changu bado hakijakuwa kujumuishwa kwenye kikosi bora kama hiki
😂😂😂😂 Tozi la Zenji alafu linataka kutuma maombi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe Mkorea Tozi
Comment za hapa, znaweza kukufanya uonekane chizi mbele za watu.. Unajikuta unacheka bila kutaka
dogo unanichukuliaje?😂😂😂😂😂😂😂
Basi kausha bwege wewe