D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
habari za zenji sijaziandika...........😀😀😀 hapana mzee sijawahi kuwa na upinzani na wewe na haitawahi kutokea....
Habari ya Zenj?
habari za zenji sijaziandika...........😀😀😀 hapana mzee sijawahi kuwa na upinzani na wewe na haitawahi kutokea....
Habari ya Zenj?
😂😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tatzo majeruhi mzee, game moja, majeruhi miezi sita, ntaichomesha timu, timu yenyewe inataka kiungo mwenye kunyumbulika kwa kazi kazi.. Sio mchezo
Huyu manzi umemuelewa sana?
😂😂😂
Hahah!habari za zenji sijaziandika...........
💯%
- stress za kutelekezwa mara kwa mara zimeshaanza kumsumbua
- pengine anahitaji mwenza kweli lakini wanaume wanaogopa (ndio ubaya wa kuwa na sifa mbaya kwenye jamii iliostaarabika)
- urembo si silaha pekee ya kumvutia mwanaume mwenye upendo wa dhati
Anaweza kubadilika na asimpate.kipaumbele kwa sasa makalio💯%
Anatakiwa kwanza abadilike yeye ndio ampate mwanamme sahihi laa sivyo ataendelea kuangukia mikononi mwamaharamia
Safi Davet za kwakoMpendwa Hawachi nakusalimia
Kwamba historia yake itazidi kumuhukumu?Anaweza kubadilika na asimpate.
Samahan mkuu..Mpendwa Hawachi nakusalimia
Bila samahani mkuu
Kila jambo linaenda na bahati kuna watu wana tabia chafu na wanaolewa nae atapata tu ikiandikwa ishallahKwamba historia yake itazidi kumuhukumu?
Au kuhusu ile skendo yake ya harufu? 😀
Au Mungu tu anaweza asiamue kumbariki?
Inshallah MpendwaKila jambo linaenda na bahati kuna watu wana tabia chafu na wanaolewa nae atapata tu ikiandikwa ishallah
ananisingizia.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe Mkorea Tozi
Wanaendelea vizuriAlhamdulillah!
Vipi hapo nyumbani wako poa?