Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wanadamu tupime vitendo vyetu ili tuweze kupata salama.


Kama kweli tuna nia ya dhati kumuomba Mwenyezi Mungu atuletee nusura dhidi ya shida zetu, tuchukue hatua za kujiepusha na yale ambayo ametukataza.
FB_IMG_1585121295452.jpeg
FB_IMG_1585130690068.jpeg
 
Mafuta yaliyopo kwenye korosho siyo hatari kwa afya ya binadamu.

Kula korosho:-
Inapunguza hatari ya kupata magonjwa ya moyo.
Inaongeza kinga ya mwili
Inaongeza uwezo wa kuona
Inasaidia kupunguza uzito wa mwili
Na, Ndiyo. Zinaongeza nguvu za kiume.
Chanzo:Healthline
 
Back
Top Bottom