Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Walikuwa wameshinda mechi 10 za mashindano yote, ambapo rekodi inaonyesha kuwa mara ya mwisho kufungwa ilikuwa ni Januari 22. Kutua kwa kiungo fundi wa Ureno, Bruno Fernandes aliyesajiliwa kwenye dirisha la Januari kuliongeza ubora wa kikosi cha Kocha Ole Gunnar Solskjaer.
 
JADON SANCHOKwenye orodha ya wachezaji wanaotakiwa huko Old Trafford, jina la winga wa Borussia Dortmund ya Bundesliga, Jadon Sancho, lipo. Mwaka 2017 alikuwa mmoja wa makinda hatari kwenye kikosi cha Manchester City.
 
Pep Guardiola na mabosi wa City walipambana kuhakikisha anabaki Etihad, lakini Sancho alikuwa na mipango mingine na kwenda kutua zake Borussia Dortmund ambako sasa amekuwa staa mkubwa na mwenye thamani kubwa.
 
Manchester United imejaribu mara kadhaa kwenye dirisha la usajili lililopita, lakini harakati hizo hazikukamilika. Thamani ya Sancho inatajwa kufikia Pauni 120 milioni na Woodward amepania kumshusha Old Trafford.
 
Kwa sasa thamani ya Haaland imepanda hadi kufikia Pauni 100 milioni huku wababe kibao wa Ulaya wakiwemo Real Madrid, Barcelona na Liverpool wakifuatilia kwa karibu maendeleo ya kinda huyo aliyeanza kwa kasi ya kupachika mabao.
 
JACK GREALISHNahodha wa Aston Villa ambayo kwa sasa inapambana na hali yake huko chini ya msimamo wa Ligi Kuu England.Staili ya uchezaji ya Maddison inafanana kabisa na supastaa huyo wa Aston Villa, Jack Grealish.
 
Back
Top Bottom