Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tunamshikilia Mwita na mkewe wakazi wa Tabata, kwakuwa wawili hao wakiwa kwenye daladala walidai kuwa serikali imefunga shule kwa kisingizio cha ugonjwa wa corona, lakini kwakweli serikali haina pesa za kuwalisha wanafunzi.
Kauli hiyo iliwachukiza abiria, ambao walilazimisha daladala hilo lifikishwe kituoni wakaeleze vizuri hoja zao.
Tunao, upelelezi ukikamilika tutawafikisha mahakamani--Kamanda wa kanda maalum ya Dar es salaam Mambosasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…