D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Huwa naangalia BBC na TBCKupata breaking news za duniani kote kuhusu mambo yote
Nilijua utaandika ule wa[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Duh! TBC ambayo wakati Ummy Mwalimu akiwa abatoa update za corona wao wanaonesha ubongo kids
Usiku huwa wanamuwekaDuh! TBC ambayo wakati Ummy Mwalimu akiwa abatoa update za corona wao wanaonesha ubongo kids
Hiyo coment kuna mdau aliiweka nikacheka sana kwenye uzi flaniUsiku huwa wanamuweka
Kwenye kishindo Cha awamu ya tano na tunatekeleza
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hiyo coment kuna mdau aliiweka nikacheka sana kwenye uzi flani
Ndio kwanza walitaja mtaa wangu kwenye hiyo nyimbo kaloleniMachafuko ya n2n unaijua?
Nasemea ile comment yangu kuhusu corona[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi huwa naangalia kweli.
Jana mhe alikuwa anaiongelea ikulu ya chamwino dodoma.
Akasema nchi nyingi tu walitaka kutujengea ikulu lakini kujengewa ikulu Ni sawa na kujengewa chumba chako Cha kulala.
Tumejenga wenyewe,ikulu kubwa akataja ukubwa bahati mbaya nishasahau
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nasemea ile comment yangu kuhusu corona
Njoo instagram upate habari kwa wakati[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa hiyo mtu akaandika tunatekeleza[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Misambwanda [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Rojas came from his home country to Spain in 2000 while his family remained in Ecuador. From there, he went to Germany with a tourist visa repeatedly. He lives with his Polish wife in Berlin, where he made money as a street performer. A passerby informed him about the talent show Das Supertalent.
View attachment 1400963
Sasa mule ndani kwenye verse ya mwisho ndio alisimama Kalapina ambae hapo nyuma walikua ni mahasimu wakubwa sana....Ndio kwanza walitaja mtaa wangu kwenye hiyo nyimbo kaloleni
HapanaNjoo instagram upate habari kwa wakati
Mimi sioni umuhimuMisambwanda [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Remix au?Sasa mule ndani kwenye verse ya mwisho ndio alisimama Kalapina ambae hapo nyuma walikua ni mahasimu wakubwa sana....
N2N vs Kikosi cha Mizinga
Kuna video nilishare hapa kutoka youtube uliangalia kwa njia gani?Hapana
Nitazipata hapa jf..
Hadi hapo IG umeshindwa kunishawishi
Twende u tube
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilienda kuifungua video order.Kuna video nilishare hapa kutoka youtube uliangalia kwa njia gani?