Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hawa watu mashuhuri hawafi na Korona hawa. Wana huduma bora za afya na wana access mpaka na experimental drugs & procedures.

Nimesoma hapa kuna procedure moja wanafanyiwa ambayo inaponyesha Korona kwa kiwango kikubwa. Wanachukua serum au protini fulani zinazohusiana na uimarishaji wa immune system kutoka kwa mtu aliyeugua ugonjwa wa Korona halafu akapona na kuzipandikiza kwa mgonjwa mpya. Hii inaactivate immune system ya mgonjwa mpya kwa kiasi kikubwa sana na kuua virusi wa Korona mara moja. Mtu wa kawaida usiye na pesa procedure kama hizi utazipata wapi?
Yule mmiliki wa Olympiacos amepona tayari
 
"Pamoja na janga hili la corona uchaguzi uko palepale.
Hakuna mtu anayekubali kukaa muda mrefu kwenye maofisi haya yenye changamoto nyingi"----Magufuli
FB_IMG_1585314213883.jpeg
 
Back
Top Bottom