Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Konokono anaweza kulala kwa miaka mitatu mfululizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Konokono anaweza kulala kwa miaka mitatu mfululizo.
Storage ya simu ndogoUnadhani Kuna Cha maana Sana Basi.
Nina picha zangu zote na za ndugu zangu za toka enzi hizo.
Nina documents muhimu za watsap..nadhani ndizo zilizoijaza.
Na jf
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣 Dah!ok, basi acha niweke list ya watu umri mkubwa humu ndani
mwenye maswali aende mamlaka ya utoaji vyeti vya kuzaliwa au NIDA
- babu andjul = miaka 55
- moudgulf = miaka 43
- saint anne = miaka 37
- myoyambendi = miaka 34
- shimba ya buyenze = miaka 33
- daemusin = miaka 31
- khantwe = miaka 27
- numbisa = miaka 26
- capital pool, mkokaa = miaka 25
- depal, ningendako = miaka 23
- davet, the happiness = miaka 21
4gbStorage ya simu ndogo
Mstari wa mbele ya KalapinaNtajie jina huo mstari nimesahau
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uongo siku zote huwa haudumu
ngoja nimwite dada mkubwa aione hii commentSYB Miaka 75 (and counting) [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama kawaida tu
Weekend ya Mangwear unaipata?
Nadhani hivyo.Storage ya simu ndogo
😂😂 ukijumlisha na zile picha zako anazosave lazma ijae
Ukipata usinisahau hata nyekundu moja tu
nawaomba wawe na heshima mbele yako.
Achana naye huyu andafote.ngoja nimwite dada mkubwa aione hii comment
Saint Anne kuna mtu anapingana na takwimu
Yaani kwamba alizimia miezi 33?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama kawaida tu
Bro mimi najua za kina nako 2 nakoMstari wa mbele ya Kalapina
Hawa watu mashuhuri hawafi na Korona hawa. Wana huduma bora za afya na wana access mpaka na experimental drugs & procedures.Waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson akutwa na maambukizi ya corona View attachment 1400954
Sent using Jamii Forums mobile app