Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kumbe wanatusumbua bure.
Halafu Hawa nandafote akina SYB wanatusumbua Sana humu..sijawahi kuona ankoo akijiinua.

Sent using Jamii Forums mobile app
  1. ulishawahi kumsikia bill gates akijisifu ya kwamba yeye ni tajiri?
  2. hao wote wanaojisifu ukubwa wa umri humu ndani ni wale last born (wenye sifa za kujimwambafy)
 
Back
Top Bottom